Monthly Archives: March 2011

Wafugaji walia na mwekezaji

NA Berensi Alikadi-Bunda WAFUGAJI wa jamii ya Kitaturu waishio katika Tarafa za Chamliho wilayani Bunda wamesema kuwa wamechoshwa na vitendo vya manyanyaso wanavyofanyiwa na mwekezaji wa kampuni ya Grumet. Wafugaji hao walitoa malalamiko yao hayo juzi kwenye mkutano wa wafugaji … Continue reading

Posted in General | Leave a comment

Police witch-hunt allegations in Serengeti ‘killing’ saga

By Ray Naluyaga Citizen Bureau Chief While the name Serengeti National Park brings with it imaginations of every conceivable beauty and luxury nature can provide, the opposite is true for villagers surrounding it. Apart from living in mud and grass … Continue reading

Posted in General | Leave a comment

Mjane awaliza wanaharakati

NA Berensi Alikadi Serengeti. KATIKA hali isiyokuwa ya kawaida kundi la wanaharakati wanaotetea wafugaji, juzi walijikuta wakibubujikwa na machozi baada ya mama mmoja mjane kuwasimulia jinsi mme wake alivyokamatwa na polisi wa kituo cha Mugumu na kisha kupigwa hadi kuuwa … Continue reading

Posted in General | Leave a comment